Our Services

Huduma zetu ni bora Zaidi

Vituo vya kielimu
Vituo vya kielimu

IPC inasimamia vituo vya kielimu ikiwemo Shule za Msingi, Sekondari pamoja Vyuo vya ufundi na ualimu

VITABU
VITABU

Jipatie vitabu vya Somo la Elimu ya Dini ya Kiislamu kuanzia shule za msingi, Sekondari na Vyuo vya ualimu

Huduma bora IPC

Salamu za Mwenyekiti

"Katika kuendeleza Jamii ya Kiislamu, ni Wajibu wa kila Mzazi na Mlezi kuhakikisha anampatia Malezi bora Kijana wake"

Mwenyekiti Mwenyekiti wa Taasisi

"Malezi bora ni pamoja na Kuhakikisha vijana wa kiislamu wanapata elimu sahihi ya Kiislamu pamoja na Kuwa na elimu ya Mazingira yenye manufaa kwake na kwa jamii yake yote"

Mwenyekiti Mwenyekiti wa Taasisi

"Mlete mwanao katika vituo vya IPC ili kijana wako apate elimu na malezi bora. Elimu ni nyezo bora zaidi ya Kuisaidia Jamii"

Mwenyekiti Mwenyekiti wa Taasisi

Recent Updates

Our Latest News