Somo la elimu ya dini ya kiislamu linafundishwa katika shule za Sekondari kwa kufata mtaala uliyowekwa na wizara ya elimu. vitabu vya somo la dini vimeandikwa kwa lugha inayoeleweka ili kuwafanya wanafunzi wote waweze kuelewa na kuyaendea maswala yanayohusu dini la kiislamu kwa vitendo.

vitabu vya sekondari kidato cha kwanza hadi cha nne

olevel

vitabu vya sekondari kidato cha tano na sita

form 5

kitabu cha walimu wanaosomea ualimu wa shule ya msingi na sekondari

PATA NAKALA YA JUZUU SABA, VITABU VYA ELIMU YA DINI YA KIISLAMU PAMOJA NA KIARABU KWA WARATIBU WA EKP KATIKA MIKOA YOTE TANZANIA BARA NA VISIWAN